Moto ukiendelea
Juhudi zikiendelea. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Transforma
zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani
Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto asubuhi hii muda
mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini.
Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa.
Globu ya
jamii imeshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka manispaa ya moshi
kikijaribu kuzima moto huo ambao hata hivyo ulikwisha teketeza sehemu
kubwa ya kituo hicho cha kupozea umeme.
on Saturday, August 16, 2014
Post a Comment