Mwenyekiti
wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu
akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika shehere ya
kumwuaga baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Awali alikuwa ni Msaidizi wa Waziri Mkuu.
Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Mhe. William Lukuvi , akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Leila
Mgonya katika shehere ya kumwuaga baada ya kuteuliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa
Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali alikuwa ni Msaidizi wa Waziri
Mkuu.
Mwenyekiti
wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu
akimkabidhi kadi ya hongera mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika
shehere ya kumwuaga baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
Tanzania. Awali alikuwa ni Msaidizi wa Waziri Mkuu. (Picha zote na
Kamati ya Bunge Maalum la Katiba).
Post a Comment