Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika
Job Ndugai, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa
Juma Kapuya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa
Iyombe, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya
Mbande-Kongwa 16.5Km.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi pamoja na
Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai wakifurahia mara
baada ya Rais kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Mbande-Kongwa
16.5Km .
Waziri wa
Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na
kikundi cha ngoma za asili cha Kibaigwa kabla ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuhutubia
mamia ya Wakazi wa Kibaigwa.
Sehemu ya barabara Mbande-Kongwa 16.5Km ambayo ujenzi wake umewekwa jiwe la Msingi.
Waziri wa
Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Mbunge
wa Kibakwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mheshimiwa George Simbachawene huku Mbunge wa Kongwa ambaye pia
ni Naibu Spika Job Ndugai akishuhudia kushoto.
Waziri wa
Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akizungumza na
Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) pamoja na Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Kapuya(kulia)
kabla ya uzinduzi wa barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara
baada ya uzinduzi na ufunguzi wa barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km.
Viongozi
mbalimbali kutoka Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zake wakimsubiri
Rais Dkt. Jakaya Kikwete kuzindua rasmi mradi wa Ujenzi wa Barabara ya
Mbande-Kongwa 16.5Km. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Ujenzi
Post a Comment