Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Sentensi kuhusu Samwel Sitta kuongezewa ulinzi na gari.

Screen Shot 2014-08-19 at 1.36.49 PM
Gazeti la Tanzania Daima August 19 2014 limeripoti kwamba Mwenyekiti wa bunge la katiba Samwel Sitta sasa hivi ameongezewa ulinzi ili kuhakikisha anakuwa salama zaidi kila anapokwenda.
Kaongezewa walinzi wawili wanaokuwa nae kila anakokwenda lakini pamoja na hilo, ameongezewa gari jingine ambalo linatumika kumbeba mmoja wa Walinzi wake.


Kwenye moja kati ya sentensi nyingine kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 19 2014, ni hii ya gazeti la Uhuru inayosema Mtandao hatari wa kusafirisha Watoto kwenda nje ya nchi umebainika baada ya Polisi kuzima jaribio la kutoroshwa Watoto 13 mkoani Tanga.
Watoto hawa walikua wakivushwa kwenda Kenya na hata wazazi wao hawakuwa na taarifa huku ikiripotiwa walikua wakipelekwa kwenye kituo cha Kiislam kutumikishwa nchini humo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top