Waziri
Mkuu. Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu,
TAMISEMI, Jumanne Sajini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro August 17, 2014 na atafungua Mkutano wa
Wadau wa barabara wa Serikali za Mitaa kwenye hoteli ya Ngurdoto
Arusha August 18, 2014. Katikati ni Waziri wa TAMISEMI , Hawa Ghasia.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Barabara wa Serikali
za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua
mkutano wao kwenye hoteli ya Ngurdoti, Arusha August 18, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Wazirii Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakuu wa Mikoa,
Thabiti Mwambugu wa Ruvuma (kushoto),Joseph Simbakaria wa Mtwara (wapili
kusho) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia
baada ya kufungua mkutano wa wadau wa barabara wa Serikali za Mitaa
kwenye hoteli ya Ngurdoto ,Arusha August 18, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment