![](http://3.bp.blogspot.com/-TmHL_mHGESQ/U9t1WG_ge_I/AAAAAAAC5XU/iTYVGXqk3PQ/s1600/PG4A7512.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ujerumani
nchini, Egon Kochanke kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar
es salaam Julai 28, 2014.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ej8fxEQAxpY/U9t1Vuh4mII/AAAAAAAC5XI/pHNsK_ZelHM/s1600/PG4A7500.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ujerumani
nchini, Egon Kochanke kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar
es salaam Julai 28, 2014. Kulia ni Naibu Balozi wa Ujerumani nchini,
Hans Koeppel.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment