Mbunge
wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas
Mtemvu akiwa anaingia Ofisi ya katibu kata,ya chama cha Mapinduzi CCM
Buza Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) wa Blog ya (
UJIJIRAHAA). yenye herufi kubwa www.ujijirahaa.blogspot.com
Mbunge wa
jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas
Mtemvu akitia saini katika kitabu cha wageni Ofisi ya katibu kata ya
chama cha Mapinduzi CCM Buza Dar es Salaam.
Mbunge wa
jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas
Mtemvu,(wapili kulia) wakipiga makofi wakiimba wimbo wa chama hicho mara
alipo wasili Ofisini hapo,kuanzia kushoto ni Mwenyekiti UVCCM kata ya
Buza,Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Jimbo la Temeke na msaidizi wa Mbunge
wa jimbo hilo upande wa Vijana.Peter Sillo,aliye vaa shati la kijani
ni Mwenyekiti wa CCM kata ya Buza, Shabani Bambo na wakwanza ni Katibu
kata ya Buza Shabani Abdallah.
Katibu
kata ya Buza Shabani Abdallah, akimkaribisha Mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo
la Temeke Abbas Mtemvu, na akitambulisha katika hafla fupi ya
kukabidhi jezi na pesa taslim kwa matumizi mbalimbali ya kiofisi,
katika moja ya ahadi aliyoitowa kwa majimbo matano kwa wanachama wa
chama cha Mapinduzi(CCM) Buza.
Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Temeke (CCM),Ally Mehalla ,akisalimia wanachama wa chama hicho
msaidizi
wa Mbunge wa jimbo la Temeke upande wa Vijana.Peter Sillo kushoto
akisalimia wanachama wa chama cha Mapinduzi (kushoto) Mwenyekiti wa(
CCM) kata ya Buza, Shabani Bambo anaye fatia ni Mbunge wa jimbo la
Temeke Abbas Mtemvu na kulia ni Katibu kata ya Buza Shabani Abdallah.
Viongozi wa Matawi kata ya Buza
Mbunge
wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas
Mtemvu(kulia), akikabidhi Pesa Taslim kwa katibu wa Uchumi wa chama
hicho Hawa Zuberi, kwa matumizi mbalimbali ya kata ya Chungu Buza Dar es
Salaam.
Mbunge wa
jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas
Mtemvu(kulia) akimkabidhi Jezi na pesa taslim katibu wa Tawi la Mashine
ya Maji5 Baraka Mohamedi
Mbunge wa
Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es salaam,Abbas
Mtemvu (kulia),akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM kata ya Buza seti ya Jezi
pamoja na Pesa taslim Sh.milioni moja na laki moja. Johari Mkonde
(kushoto), kati ya ahadi aliyoitowa kwa majimbo matano kwa wanachama wa
chama cha Mapinduzi . anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama hicho kata
ya buza, Shabani Bambo.
Mbunge wa
Jimbo la Temeke akitoka na viongozi kwanda eneo lililo haribiwa na Mvua
na kusababisha njia hiyo kutopitika na Magari yakawa hayapiti katika
njia hiyo, kati ya Vituka Machimbo na Buza Shule na jinsikani wataweza
kuweka Daraja katika Mto wa Buza ili wanafunzi na wananchi waweze pita
kwa urahisi kutokana na ukaribu wa eneo hilo.
Wakiwa
katika kituo kidogo cha Polisi cha Buza ,kujionea maendeleya ya kituo
hicho baada ya kutoa Pesa awamu ya kwanza na kuahidi kukimalizia na
kuwawekea Fenicha mbalimbali kituoni hapo.
Njia iliyo haribiwa na Mvua na Gari kuto pita tena
Mto Buza ulivyo ulivyo haribiwa na Mvua
Post a Comment