Taswira baada ya ajali hiyo.
WATU
watatu waliokuwa wakitembea kwa mguu wamepoteza maisha papo hapo baada
ya kugongwa na gari dogo lililopoteza mwelekeo mkoani Njombe usiku wa
kuamkia leo.
Gari dogo baada ya kuligonga lori la mafuta.
Gari hilo
lilipoteza uelekeo baada ya kumulikwa na lori la mafuta lililokuwa
mbele yake na kuwagonga watu hao kisha kulivaa hilo lori na kuharibika
vibaya. Watu waliokuwa ndani ya lori hilo wamejeruhiwa vibaya.
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo iliyoua watu watatu.
Lori la mafuta baada ya ajali.
Post a Comment