Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya Springfield Alhaji Isaaac Kibodya pamoja na mama mwenye nyumba wake.
Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na kutoka kushoto Aunty Ashura, Iman Nkuwi, Asha Hariz na Asha Nyang'anyi.
Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na Seif Ameir na mama mwenye nyumba wake.
Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na wadau kutoka kushoto Salma, Missy Temeke na aliyekua Miss Tanga kutoka Houston, Texas.
Kwa picha zaidi za Aunty na Wadau bofya soma zaidi
Post a Comment