M-Net wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa
shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu
yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika
shindano hilo, mrembo Irene Laveda.
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano
hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
Matukio makuu Afrika 2024
3 hours ago
Post a Comment