Tukio hili limetokea
eneo la Bonanza kata ya Chamwino, Dodoma mjini. Kwa shuhuda wetu
aliyekuwa
eneo la tukio amesema kuwa dereva wa
bodaboda amekutwa amefariki baada ya
kuuliwa na watu wasiojulikana na kisha watu hao kutoweka bodaboda
aliyokuwa akiendesha marehemu huyo. Dereva huyo wa bodaboda
amechomwa kisu maeneo ya tumboni na shingoni katika mwili wake na katika
eneo la tukio kumekutwa
visu viwili amavyo vinasadikika kutumiwa katika uharifu huo kando kidogo
ya barabara na sehemu ulipokuwa mwili wa marehemu.(Picha na Alex wa
Pamoja Blog)
Hiki
ni mojawapo ya kisu kinachosadikiwaa kutumika katika kufanya mauaji
hayo ya dereva wa Bodaboda na kisha watu hao kutoweka na pikipiki.
Damu ikiwa imetapakaa eneo la tukio
Hii ni mojawapo ya sehemu aliyochomwa kisu dereva huyo wa bodaboda
Baadhi ya mashuhuda wakiwa kwenye eneo la tukio
on Tuesday, September 23, 2014
Post a Comment