Baada
ya diamond kushindwa kufanya show nchini Uingereza siku chache
zilizopita huku yeye akisema ilikua ni tatizo la promoter alieanda show,
sasa Meneja wake Diamond Platnumz amefunguka sababu za msanii wake
kushindwa kufanya show hile, Pia ikimbukwe ni wiki chache tu zilizopita
Diamond alishindwa kufanya show nchini Ujerumani baada ya kuchelewa
kufika katika show na kusababisha vurugu mpaka kufikia hatua ya polisi
kuingilia.
Utaweza
kusoma Onyo aliopewa Diamond na shabiki aliefika kwenye show ya
Uingereza na kuambulia patupu kwa kuwa msanii huyo aligoma kupanda
stejini.
cheki alichoandika shabiki...
Post a Comment