PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANI
Polisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,
Anayejiita
promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia
wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi
kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo
sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii
wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini Stuttgart,ujerumani.
Baada ya uchunguzi wa polisi kufuatia fujo hizo imegundulika kuwa muandaaji wa onyesho hilo Mr.Awin Williams Akpomiemie aliudanganya utawala wa ukumbi wa
Sindfingen kwa kukodisha ukumbi huo kwa ajili ya african paty na mkutano
sio onyesho la muziki kama alivyofanya,na kusababisha fujo zilizotia
hasara ya euro 300,000 ( T-shilingi millioni 600=) ambazo inatakiwa
alipe,kwa promota huyo.
Awin Williams Akpomiemie hakuwa na bima ya ku-cover au kulinda
onyesho hilo na ukumbi lilipofanyika ambapo ni ukumbi wa mikutano na
maonyesho ya bidhaa siyo muziki.
taarifa za uhakika polisi imelipeleka swala hilo kwa ofisi ya sheria (Stadt Anwalt)
ya mji wa Stuttgart ili ichukue mkondo wa sheria ambao unamweka roho juu
bwana Awin Williams Akpomiemie - BRITTS EVENTS, Polisi inaendelea
Wakati
huo huo tahasisi mbali mbali na jumuiya za wafrika nchini ujerumani na
jirani zimelaani vikali tabia za raia huyo wa nigeria Awin
Williams Akpomiemieza kuwadanganya washabiki na kulivunjia hadhi na
sifa bara la Afrika nchini ujerumani ,tahasisi na jumuiya hizo
zimewaonya watu kujiepusha kabisa na
Post a Comment