Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAYA HAPA MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU




Matokeo ya Walioomba Mafunzo Ualimu katika Vyuo vya Serikali

 

Maelekezo:

Mfumo huu umewekewa vitufe mbali mbali ili kumsaidia muombaji kupata taarifa
anazozihitaji kuhusiana na maombi yake (kama amechaguliwa ama la).
Bonyeza viunganishi vilivyowekwa kama "Elimu ya Awali", "Michezo", na "Msingi"
(kwa waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu ya Kawaida);
au"Sayansi na Hisabati", na "Elimu Maalumu" (kwa waliochaguliwa kujiunga na
"Stashahada ya juu ya Ualimu) kisha andika jina, au namba yako ya mtihani ya kidato
cha nne kwenye kiboksi cha "Search" na moja kwa moja utaweza kuona kama jina lako
liko kwenye orodha ya waliochaguliwa au hapana.
Matokeo yanapatikana hapa
http://www.nacte.go.tz




Matokeo haya yatapatikana kwa majeduali makubwa katika tovuti ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu na pia kwenye mbao za matangazo katika ofisi za Elimu Mikoa kuanzia  tarehe 4 Septemba 2014.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top