
Kamati za Bunge Maalum la Katiba leo zimeanza kutoa taarifa kuhusu mabadiliko yaliyofanyika katika Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa kwa Rais Kikwete Desemba 30 2013.Katika mabadiliko yaliyofanyika, kamati nyingi zimependekeza kufutwa kwa ibara za 15 hadi 20 zinazohusu maadili na miiko ya uongozi kwa madai kuwa zitatungiwa sheria na si muhimu kwa masuala ya maadili kuingizwa kwenye Katiba.
Je, wewe unaonaje? Funguka hapa, na Tazama show upate mengi kwa undani.
Post a Comment