Comrade
Mwigulu Nchemba akiwa amembeba Mtoto katika kijiji cha kaselya wakati
alipotembelea kukagua Usambazaji wa Nguzo za Umeme na Waya Jimboni
Iramba.
Mh,Mwigulu
Nchemba akiteta jambo na Mama huyu Mlemavu wa Ngozi ambaye Mwigulu
amekuwa akimsaidia katika Maisha yake,Hapa Mama huyu amebarikiwa kupata
mtoto hivyo anamuonesha Mbunge wake hapa Iramba,Comrade Mwigulu Nchemba akimsikiliza Mwananchi wake mwenye Ulemavu katika kijiji cha Ndulungu Jimboni Iramba.Mh.Mwigulu
Nchemba akipokea zawadi ya Kibao kilichonakishiwa kwa maneno
"MH:MWIGULU MKOMBOZI WA IRAMBA|".Hakika kwa sasa Jimbo la Iramba
limefanikiwa kupata miradi ya maendeleo mingi ikiwamo
Umeme,Barabara,Hospitali na shule kwa kiwango kikubwa hazijawahi kuwepo
Iramba,Hivyo juhudi za Mbunge zimepelekea Iramba sasa kusambazwa Umeme
Vijiji vyote.
Mmoja ya Wanafunzi ambao Mwigulu amepata
kuzungumza naye kuhusu masomo na hali ya shule,Mwigulu anasomesha
watoto waliokatika mazingira magumu zaidi ya 300 jimboni kwake,Wengine
wameshahitimu kidato cha sita.
Vijana wakiteta na Mbunge wao kuhusu Vifaa vya Michezo.Comrade Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini tatizo la huyu mama na mtoto wake katika kijiji cha Ndulungu Jimboni Iramba.
Hii ni sehemu tu ya Furaha ya Wananchi wanapokutana na Mbunge wao ambaye amewaletea maendeleo hapa Iramba ambayo yalikuwa ni ndoto kwao,Ujenzi wa shule,Maabara,Umeme,Zahanati kila kata,Barabara nk

Picha/Maelezo na Sanga Jr.
Post a Comment