Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo
ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) akibadilisha
mawazo na Mjumbe mwenzie Paul Makonda(katikati) na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania
(Taff), Simon Mwakifwamba (kulia)
mara baada ya kikao cha 41 ambacho kimepitisha marekebisho ya Kanuni za
Bunge ili ziwawezeshe wajumbe walioko nje kupiga kura ya kupitisha vifungu
mbalimbali vya Katiba inayopendekezwa.
Wajumbe wa Bunge
Maalum la Katiba John Cheyo (kushoto) na Paul Kimiti (kulia) wakibadilishana
mawazo nje ya ukumbi mara baada ya kikao cha 41 ambacho kimepitisha
marekebisho ya Kanuni za Bunge ili ziwawezeshe wajumbe walioko nje kupiga
kura ya kupitisha vifungu mbalimbali vya Katiba inayopendekezwa.Picha zote na Maelezo-Dodoma
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel
Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon
Mpanju akisoma Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22
Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ezekiel Olouch
akichangia mada wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni
za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Paul Makonda
akichanghia mada wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni
za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pindi Chana
akichangia mada wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni
za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
wakifuatilia mjadala bungeni wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha
marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Post a Comment