Dr Mwaka (kulia), Dauda wakimkabidhi mwakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup jezi.
Mdhamini
Mkuu wa michuano ya Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup ,Dr Mwaka
akifafanua jambo mbele ya wanahabari kuhusiana na michuano hiyo
inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa
Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Mmoja
wa Waratibu wa Mwaka Sports Extar Ndondo Cup Alex Luambano kutoka
Clouds FM (aliyesimama) akiwatambulisha baadhi ya waratibu,wasiamizi na
Wadhamini wa Dr Mwaka Sports Extar Ndondo Cup inayotarajiwa kuanza
kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni
jijini Dar es Salaam.
Mratibu
wa Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup kutoka Clouds FM, Shafih Dauda
akielezea ushiriki wa michuano hiyo kwenye Ufukwe wa Escape One,
Mikocheni jijini Dar es Salaam, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi
keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es
Salaam.
Post a Comment