Msanii
wa filamu nchini Tanzania maarufu kama Mzee Chilo akiwa katika picha ya
pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo
24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.
Kiongozi
wa msafara wa wasanii walifika katika Bunge Maalum la Katiba Bw. Simon
Mwakifwamba akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya
Bunge hilo mjini Dodoma.
Baadhi
ya wasanii wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella
Mukangara (wa pili toka kushoto) wakati alipokutana nao maeneo ya
viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya Wasanii wakijadiliana jambo mara baada ya kutoka nje ya Bunge Maalum la Katiba leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wasanii
wakiendelea kumsikiliza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara
wakati alipokutana nao maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba,
2014 mjini Dodoma.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiwa katika picha ya pamoja na
wasanii maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini
Dodoma.
Post a Comment