Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada
ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho. (Picha zote na
Francis Dande)
Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwaongozi wajumbe wa
Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema kuimba wimbo wa taifa wakati wa
mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), ambaye amemaliza muda
wake, John Heche akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Baadhi ya watu wakinunua fulana za Chadema wakati wa Mkutano
Mkuu wa Bavicha.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa
katika mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa
katika mkutano huo.
Post a Comment