Bweni
la wanafunzi katika shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo
Laloleni manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linateketea kwa moto hivi
sasa. Kwa mujibu wa
mashuhuda wa tukio hilo wamesema moto huo umeanza majira ya saa 2 za
usiku huku chanzo chake bado hakijajulikana na ripota wetu Dixon
Busagaga aliye eneo la tukio anafuatilia ajali hii na atatujulisha kila
kitachojiri na kupatikana.
Kikosi cha zimamoto kimefanya jitihada za kuzima moto huo licha ya kukabiliwa na changamoto ya maji.CRDT MICHUZI BLOG
Post a Comment