Waziri
wa
Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika
katika uzinduzi wa kivuko cha kigamboni leo jijini Dar es Salaam
kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini
,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji
Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo
ya Mv Kigamboni leo jijini Dar es Salaam
ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki hii.
Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana kwa
ndani, kinatarajiwa kuanza kutumika siku ya alhamisi baada ya matengenezo
yalifanywa na Jeshi la Wanamaji kwa mda
wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( kushoto) na Katibu Mkuu
wa Ujenzi Injinia Mussa Iyombe(kulia)
wakisikiliza kwa makini maelekezo yaliyokuwa yakitolewa katika ufunguzi
wa
kivuko cha Mv Kigamboni leo jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa
matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini na kinatarajiwa
kuanza kutumika wiki hii.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati mwenye suti
nyeusi) akielekea katika eneo ambalo
kivuko cha MV Kigamboni kilipo kwa ajili
ya ukaguzi wa kazi iliyofanywa na wahandisi wa Jeshi la Wanamaji leo jijini Dar
es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati)
akipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi
wa matengenezo Luten Kanali Abel
Gwanafyo (Kulia), kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Maji Brigadia Jenerali
Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam
,amabapo kinatarajiwa kuanza kutumika
wiki kurahisisha usafiri kwa watu
wa Kigamboni.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati) akipata maelekezo
kutoka kwa Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kushoto), kulia ni Mkuu
wa Jeshi nla Maji Brigadia Jenerali Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko
hicho leo jijini Dar es Salaam ,amabapo
kinatarajiwa kuanza kutumika wiki hii kurahisisha usafiri kwa watu
wa Kigamboni.
Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana upande wa mbele na ubavuni , kikiwa katika
hatua za mwisho tayari kwa kuanza
kutumiwa na wananchi siku ya alhamisi baada ya matengenezo yaliofanywa
na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu
tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.( Picha na Lorietha Laurenc
eMaelezo)
Post a Comment