Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kiongozi Mkuu wa Mabohora His Holiness Syedna Mufaddal Saifuddin ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na pamoja na kiongozi Mkuu wa
Mabohora His Holiness Syedna Mufaddal Saifuddin ikulu jijini Dar es
Salaam jana jioni
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akifanya mazungumzo na kiongozi Mkuu wa Mabohora His Holiness Syedna
Mufaddal Saifuddin ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Picha na Freddy
Maro-IKULU
Post a Comment