Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na
mjadala wa Rasimu ya Katiba.
|
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe.
Samuel Sitta akitoa maelezo muhimu wakati wa mjadala wa Bunge hilo leo 10
Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif
Ali Iddi (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na wajumbe wengine wa Bunge Maalum la
Katiba. Kushoto ni Mhe. Pandu Ameir Kificho na katikati ni Mhe. Seif Khatibu.
|
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) akiwa na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Mhe. Margareth Sitta wakifuatilia mjadala ndani ya Bunge hilo leo 10
Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
|
Post a Comment