JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Tume
inatoa taarifa kwa Umma kuwa itatembelea Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa
na Mbeya kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na
utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili kuanzia tarehe 17/9/2014
mpaka 6/10/2014 kama ratiba inavyoonesha:-
Na.
|
Tarehe
|
Mkoa/Wilaya
|
1.
|
Jumatano 17/9/2014
|
Kigoma
|
Alhamisi
18/9/2014
|
Kibondo
| |
Ijumaa
19/9/2014
|
Kibondo
| |
Jumamosi
20/9/2014
|
Kasulu
| |
2.
|
Jumatatu
22/9/2014
|
Kasulu
|
Jumanne
23/9/2014
|
Uvinza
| |
Jumatano
24/9/2014
|
Uvinza
| |
3.
|
Alhamisi
25/9/2014
|
Mpanda
|
Ijumaa
26/9/2014
|
Mpanda
| |
Jumamosi
27/9/2014
|
Mpanda
| |
4.
|
Jumapili
28/9/2014
| |
Jumatatu
29/9/2014
|
Sumbawanga
| |
Jumanne
30/9/2014
|
Sumbawanga
| |
5.
|
Jumatano
1/10/2014
| |
Alhamisi
2/10/2014
|
Mbozi
| |
Ijumaa
3/10/2014
|
Mbeya
| |
Jumamosi
4/10/2014
|
Mbarali
| |
Jumapili
5/10/2014
|
Mbarali
| |
6/10/2014
|
Aidha Tume inaendelea kupokea taarifa na malalamiko kwa njia ya barua, simu na barua pepe kwa anwani ifuatayo:-
i.Katibu wa Tume
Tume ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili
SLP 9050
Kivukoni Front
Dar es Salaam
ii.Barua Pepe: opereshenitokomeza@agctz.go.tz
iii. Namba za simu:
Tigo:0714 826826
Vodacom:0767 826826
Airtel: 0787 826826
Zantel:0773 826826
Imetolewa Na:
Frederick K.Manyanda
KATIBU WA TUME
9 Septemba, 2014
Post a Comment