HUYU NI MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA 14, ALISHINDWA KUFANYA MTIHANI
WA TAIFA WA DARASA LA SABA 2014 KWA SIKU YA PILI TATEHE 11 SEPTEMBA HAPA
JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUTEKWA NA MWANAUME NA KUMFUNGIA NDANI
KWAKE NA KUMBAKA NA KUSABABISHA MWANAFUNZI HUYO AMBAYE NI MTOTO
KUTOMALIZA MTIHANI WAKE WA MWISHO.....HATA HIVYO MTUHUMIWA AMESHILIWA
NA POLISI TANGU TAREHE 11SEPT NA HAJAFIKISHWA MAHAKAMANI.....MWANAFUNZI
HUYU ANALIA SANA
CHANZO:SAM MAHELA
Post a Comment