Sasa hivi ataonekana sana kwenye kioo
chako baada ya kutoa hii video mpya aliyoifanya Kigali Rwanda ambapo
jina la video lilikua liwe ‘nimepona’ ila jamaa wakakosea na kuiandika
‘mimi na wewe’ ila sio kesi.
Hussein
Machozi amesema alipata nafasi ya kuifanya video hii kwenye nyumba ya
Rais Paul Kagame kirahisi sababu producer wa hii single ni Mrwanda na
hata yeye mwenyewe Hussein ana asili ya Rwanda kwa upande wa mama mzazi,
hivyo vyote vimesaidia kwake kupata nafasi hiyo.
Rais Paul Kagame ambae ni miongoni mwa
Marais wanaopenda sana kuwasaidia vijana ambae pia ana rekodi za
kusaidia hata Wasanii wa nchi yake, huwa haishi kwenye hii nyumba bali
familia yake.
President Kagame aliwahi pia kumsaidia
mmoja kati ya Wasanii vijana wa Rwanda lakini mwaka huu msanii huyo
ameingia kwenye kashfa ya kutaka kuipindua nchi ikiwemo kumpindua
madarakani Rais Paul Kagame mwenyewe.
Ukishaitazama
hii video mpya ya Hussein Machozi hapa chini unaweza kuacha maoni yako
ili jioni saa moja akiingia akutane na comments za mashabiki wake.
Post a Comment