Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi
wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo
jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana
Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO
Bw. Frank Mvungi.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu
cha Sera ya Maendeleo ya Vijana kwa waandishi wa habari wakati alipokuwa
akito ufafanuzi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF) leo jijini
Dar es Salaam. Kuliani ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi
Concilia Niyibitanga.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakifuatilia taarifa kuhusu Mfuko wa Vijana
wakati wa mkutano wa msemaji wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo na waandishi hao uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari
MAELEZO leo jijini Dar es Salaam. Picha na Frank Shija
Post a Comment