Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa nnne kulia) akiwepo na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid
Karume wakijumuika na waisalmu katika kumswalia Marehemu aliyekua
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Iddi Pandu Hassan
katika Msikiti wa Mchekeni Magomeni Mjini Zanzibar leo na Kuzikwa
kijijini kwao Makunduchi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ALhaj Dk.
Mohamed Gharib Bilali waliungana na wananchi mbali mbali katika maziko
ya aliyekua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Iddi
Pandu Hassan aliyezikwa kijijini kwao Kipunguni Makunduchi jana.
Marehemu Iddi Pandu Hassan aliyekua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein alipofika nyumbani kwa Marehemu Iddi Pandu Hassan aliyekua
Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwapa pole wafiwa leo kabla ya kufanyika
mazishi huko kijijini kwao Makunduchi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Ndugu wa Marehemu Iddi Pandu Hassan aliyekua
Mwanasheria Mkuu wa Serikali alipofika kuwapa pole wafiwa nyumbani kwa
marehemu Magomeni Mjini Zanzibar leo kabla ya kufanyika mazishi huko
kijijini kwao Makunduchi.
Baadhi
ya akina mama walioshiriki katika mazishi ya aliyekua Mwanasheria Mkuu
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Marehemu Iddi Pandu Hassannyumbani
kwake Magomeni Mjini Unguja jana.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Post a Comment