|
Mkuu
wa kitengo cha sheria CHADEMA, Tundu Lisu, (Katikati), akiongozana na
washtakiwa kwenye kesi ya kukusanyika isivyo halali wakati wakitoka
mahakama ya wilaya ya Dodoma Jumanne Septemba 23, 2014. Lisu ambaye
alikuwa akiwatete washtakiwa hao ambao baadhi yao ni viongozi wa chama
hicho mkoani Dodoma, alisema, walishtakiwa kwa kosa la kukusanyika
isivyo halali hapo Septemba 18, mwaka huu,wiki iliyopita na waliachiwa huru
kwa dhamana. |
|
Lisu akiongozana na washtakiwa wakati wakitoka mahakani hapo, Jumanne Septemba 23, 2014 |
on Wednesday, September 24, 2014
Post a Comment