Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika hospitali ya mkoa wa Shinyanga .
Ndugu
Issa Ramadhani (36) mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga aliamua
kuchukua jukumu la kujinyonga chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa
kwenda kupima na kuonekana majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya
ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani alimtuma
mkewe kwenda kwa wazazi wake huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga
huku akicha ujumbe wa maneno kuwa NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya
mkononi ikiwa kitandani
Mwili
wakiutoa nyumbani baadhi ya majirani na kuupeleka kwenye gari la polisi
tayari kuusindikiza mpaka mochwari kuhifadhiwa huku wakisubiriwa ndugu
na jamaa kufanya taratibu za mazishi.
Post a Comment