Daah Ona
jinsi Lundenga unavyoshusha hadhi ya mashindano haya, ona jinsi
unavyoaibika na kutungiwa sms zinazosambaa mitandaoni yote hii ni
kwasababu ya fitna iliyoendelea....kwakweli hii Miss haijawahi kutokea
Tanzania, wa Tanzania wa sasa sio wa zamani wa kuburuzwa buruzwa tuuuu,
wanaelwa kila kitu, maneno mengi yameongelewa na Lundenga usijiaibishe
katika kipindi hiki kigumu.... daaah inasikitisha but naamini
mtalifanyia kazi
na kutujuza wa Tz maana ni mambo ya ajabu vitu vya ajabu, mara miaka 18, mara 23, mara 25 ilimradi kila mmoja anasema lake.
na kutujuza wa Tz maana ni mambo ya ajabu vitu vya ajabu, mara miaka 18, mara 23, mara 25 ilimradi kila mmoja anasema lake.
Lundenga
hebu rudisha Miss Tanzania ya zamani watu wakisikia Miss Tanzania
inakuja tunaanza kutafuta nguo mwezi mmoja maana lilikuwa moja ya
shindano kubwa Tanzania, ila kwa sasa si apeche si aloloo.... jua
umewaudhi sana watu tena sana, mbona kwa Briggite, Hapiness hawakusema??
iweje huyu?? kwa kipi haswa watu wamuonee wivu yeye?? Sitti anaweza
akashindana na Ms Alfred kwa kitu chochote?? kwanini hawakuwasema hao
waliopita wampinge yeye BIG NO Mr Mkurugenziii....
Post a Comment