Polisi
mkoani Arusha yamuua kwa risasi mtuhumiwa Namba Moja wa milipuko ya
mabomu katika mikusanyiko jijini humo na umwagiaji watu tindikali baada
ya kujaribu kutoroka akiwa njiani kwenda kuonesha bomu alilokuwa
amelificha maeneo ya Kondoa mkoani Dodoma.
on Saturday, October 25, 2014
Post a Comment