Kama umefuatilia katika wiki hii kumekuwa na vuguvugu kali linaloendelea kati ya Mahasimu hawa wawili, sasa wengi wakiwa hawajui nini chanzo cha Bifu kubwa linaloendelea kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba.
Katika hali ya kutaka kujua ukweli mtangazaji wa kipindi cha XXL alimtandika
swali la kizushi Ali Kiba kuhusu Bifu hilo linaloendelea mpaka sasa huku akitaka kujua chanzo kikubwa cha yeye na Diamond na yeye kuhitiliafiana. Ali aligoma kabisa kuelezea chanzo cha ugomvi ama bifu lililo kati yao.SHUKA NAYO HAPA>>>

Post a Comment