Jeneza lenye mwili wa baba yake Single Mtambalike ‘Richie’ likiombewa dua kabla ya mazishi leo katika Makaburi ya Segerea Dar.
Waombolezaji wakielekea katika Makaburi ya Segerea Dar.(P.T)
Msanii wa
Bongo Muvi, Haji Adam 'Baba Haji' (katikati) akiwa na msanii wa kitambo
wa maigizo, Raymond Allen 'BishangaBashaija' (kulia) wakiwa Makaburi ya
Segerea Dar.
Msanii Mrisho Mpoto (wa pili kutoka kushoto) na Banana Zorro ( wa tatu kutoka kushoto) wakiwa msibani.
Richie Mtambalike akiwa na rafiki yake wa siku nyingi msanii Raymond Allen 'Bishanga Bashaija' (kulia).
Mazishi yakiendelea katika Makaburi ya Segerea Dar.
Msanii Richie akitoka kaburini kumzika baba yake.
Baadhi ya
wasanii wa Bongo Muvi wakiwa msibani, Rose Ndauka
(kushoto), Brenda Marembeka 'Kunguru' (katikati) na JacquelinePentezel
'Jack wa Chuzi'(kushoto).
Hatimaye
baba wa msanii wa filamu, Single Mtambalike ‘Richie’, amezikwa leo
katika Makaburi ya Segerea Dar. Alifariki jana, Tabata, Dar.
(PICHA NA SHANI RAMADHANI, MAYASA MARIWATA, IMELDA MTEMA, GLADNESS MALLYA NA GABRIEL NGOSHA/ GPL)
Post a Comment