Rapper
kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo
kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na
kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha
lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya
kurudi tena chuo ili kuchukua PhD ,
Rapper wa
ngoma ya "sitaki kazi" alipokua akizungumza na kipindi cha XXL cha
clouds fm siku ya leo Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ameapply na
amepata nafasi chuo kikuu cha Dar es salaam na week ijayo anaanza
registration, alipoulizwa kuhusu Music alijibu kuwa kwasasa ameshakua na
Mashabiki wake wataendelea kupata vitu vikali kama kawaida.
WE WISH YOU ALL THE BEST NICK WA PILI
Post a Comment