Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akimkaribisha Balozi wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila (kushoto) kabla ya kuanza
kikao kilichojadili utekelezaji wa mradi mkubwa wa kuboresha
umeme katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Pia kikao hicho kilihusisha ujumbe wa balozi wa Finland na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza na Balozi wa Finland
Nchini Bi. Sinikka Antila na ujumbe wake
pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya
Nishati na Madini.
Balozi wa Finland
Nchini Bi. Sinikka Antila akisisitiza
jambo wakati wa kikao hicho.
Balozi wa Finland
Nchini Bi. Sinikka Antila (kushoto)
akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya
Waziri wa Nishati na Madini. Kulia ni
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo.
Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi
wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila
(kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo.
Post a Comment