Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JUKATA WATEMA CHECHE, WASEMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA HAIKATI KIU YA WATANZANIA


Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Deusi Kibamba (katikati) akiongea mbele ya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Akionyesha tofauti ya Katiba mpya na ile ya zamani. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Siku chache baada ya Mjumbe wa bunge Maalum la katiba ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti kupitia chama cha NCCR Mageuzi - Zanzibar, Haji Ambar Hamis kutoa tuhuma za kupigishwa kura ya kupitisha Katiba inayopendekezwa bila ridhaa yake. Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) nalo limetoa tuhuma kwa kitendo cha udanganyifu kwa upande wa Zanzibar ambapo Mheshimiwa Zakia Megji amewekwa kama mjumbe kutokea Zanzibar na wakati yupo upande wa Tanzania bara. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa JUKATA, bwana Deus Kibamba jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wahabari. Aidha Kibamba amesema kwamba katiba inayopendekezwa imeshindwa kukata kiu ya Watanzania walio wengi kuhusu namna ya kutatua tatizo la kushuka kwa maadili ya viongozi na watumishi wa umma katika Taifa.



Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top