Mshambuliaji
wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake
katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika
hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars
imeshinda 4-1 dhidi ya Benin.
Wachezaji
wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao
wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo.
Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao.
Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa hawajapata la kufutia machozi.
Shangwe tupu ilikuwa uwanjani hapa.
Dogo muokota mipira akiisikilizia baridi iliyoambatana na kimvua cha kiaina.
Uzalendo
ndio mpango mzima,pamoja na kwamba mvua ilikuwa ikinyesha lakini hakuna
alietaka kuondoka uwanjani hapo hasa kutokana na burudani safi
iliyoonyeshwa na Taifa Stars leo.Picha Zote na Othman Michuzi.,MMG.
Post a Comment