Mtangaziji
wa kike ambaye sasa anapiga kazi katika kituo cha Redia Efm cha jijini
Dar Maimatha Jesse 'Mai' hivi karibuni alifichua siri ya kuwa na
mafanikio nje ya utangazaji kuwa ni biashara ya nyeti bandia za kiume na
kudai kwamba zinalipa.Bila wasiwasi,Mai alitoboa siri kwamba biashara
hiyo ilimpatia pesa nyingi kutokana na wanaume wengi kuwa na matatizo ya
nguvu za kiume na kushindwa kuwaridhisha wapenzi wao hivyo kuwafanya
kutumia nyeti hizo.
Alisema nyeti bandia zinazolipa ni zile zinazotumia umeme na zenye mitetemo.
Mtangazaji huyo alisema hata hivyo alifanya biashara hiyo kabla ya
kuolewa huku akishindwa kueleza kama bado anaendelea kuifanya au la.
"Ilikuwa ni harakati tu za kutafuta maisha. kifupi iliniingizia pesa
ya kutosha sana. Hata hivyo nimeamua kurejea katika fani yangu ya
utangazaji upya. Naomba mashabiki wanipokee kwani natarajia kufanya
maajabu katika kipindi changu kipya cha Khanga"alisema
Post a Comment