Baada ya Jana kukuletea Episode Tano muhimu zilizopewa jina la Video 5 Hatari toka jumba la Big Brother Africa zikianika kila kitu tangu shindano la mwaka huu lianze, hii ni nafasi nyingine tena ya kukuletea maisha binafsi ya washiriki wa jumba hilo wakioga pamoja bafuni....
Kamera za jumba hilo la kikubwa zimewamulika na kuwanasa live mshiriki wa kike wa Mozambique( Mira), mshiriki wa kiume wa Nigeria ( Tayo) na Mshiriki wa kike wa Botswana ( Sheillah) wakioga pamoja bafuni.
Kumbuka, video kama hizo ni kwaajili ya VIP tu, lkn site yako pendwa itahakikisha unazipata bila kujali ni VIP au la.
Katika shindano hili, Tanzania inawakilishwa na wshiriki wawili ambao ni Idris na Laveda ambao kikukweli wanafanya vyema sana .
Habari njema tu ni kwamba mshiriki wetu wa kike ( Laveda) ni Head of House ikiwa na maana kwamba yeye si miongoni mwa washiriki walioko kikaangoni kutolewa wiki hii.
Habari njema tu ni kwamba mshiriki wetu wa kike ( Laveda) ni Head of House ikiwa na maana kwamba yeye si miongoni mwa washiriki walioko kikaangoni kutolewa wiki hii.
Ingia hapo juu kushuhudia matukio yote ya Big Brother Africa- 2014
Post a Comment