Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia Wananchi na Wanachama wa
CCM katika Viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja leo.
Wananchi
na WanaCCM waliofirika katika viwanja vyaDemokrasia Kibanda maiti Mjini
Unguja wakiwa katika Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo ambao umeweka bayana na kufanya
uchambuzi baadhi ya vifungu vya katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum
la Katiba
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamo
wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi wakiwa katika Mkutano wa Hadhara
katika Viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja leo
uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
pia Makamo Mwenyeekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein .[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyeekiti
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Mjini Borafya Silima,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
wakifuatana katika mkutano hadhara uliofanyika leo katika Viwanja vya
Demokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja,.Picha na IKULU-Zanzibar
Post a Comment