Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri
Kuu ya CCM ambacho kimemalizika leo mjini Dodoma na kutoka na mazimio
ya kupitisha sera ya chama kujiendesha kiuchumi na kuondokana na
utegemezi wa ruzuku ya serikali.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akiandika baadhi ya mambo
muhimu ya kufafanua katika suala la maadili ndani ya Chama.
Dk.Asha-Rose
Migiro akizungumzia mambo mbali mbali yanayohusiana na siasa na
mahusiano ya kimataifa kwenye kikao cha NEC kilichomalizika leo tarehe
17 Oktoba 2014 ,mjini Dodoma
Post a Comment