Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika
hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar
Post a Comment