Mshiriki
wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Feza Kessy. “Yeye ndiye
anajua ukweli, arudishe kiroho safi, tumche Mungu, katika maisha haya,
hasa katika tasnia ya burudani, watu wengi sana wanadanganya, huenda
alifanya hivyo bila sisi kujua nia yake, na ninaomba pia kama atafanya
hivyo,
watanzania tumsamehe,” alisema Feza, ambaye pia alishinda taji la Miss Dar City Center na Miss Ilala mwaka 2005.
watanzania tumsamehe,” alisema Feza, ambaye pia alishinda taji la Miss Dar City Center na Miss Ilala mwaka 2005.
MSHIRIKI wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Feza Kessy,
amemtaka mshindi wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu kuachia
ngazi kama kweli madai dhidi yake yanamgusa nafsi yake.
Post a Comment