Happiness William [Enzi ya Uhai Wake]
Tanzia
nzito katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Agustino Cha Tabora
(Archbishop Mihayo University College of Tabora-AMUCTA). Hayati
(Happiness) aliyekuwa akisomea kozi Uhusiano wa Umma na Masoko katika
mwaka wa Tatu (3) amekumbwa na umauti leo hii asubuhi katika hospitali
ya Mirambo-Tabora. Hayati alikuwa anasumbuliwa na Typhoid pamoja na
sickel cell. Imethibitishwa na moja ya mhadhiri wa chuo hicho alipoongea
na mtandao huu kwa njia ya simu.
Mtandao huu utaendelea kukupa taarifa zote za msiba huu.
PIA TUNAUNGANA NA YEYOTE ALIYEGUSWA NA MSIBA HUU KATIKA MAOMBOLEZO.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI
CHANZO : ALOYSON BLOG
Post a Comment