Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe
Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam leo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Paschal
Mabiti aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam leo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba
Mhe. Dkt Henry Mwijarubi Nyamubi aliyelazwa kwa matibabu katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo.
Post a Comment