Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RONALDO NA MPENZI IRINA KATIKA PATI LA KUSHEREHEKEA HAT TRICK YA 22 REAL MADRID


Cristiano Ronaldo amesherehekea hat trick yake ya jana Real Madrid kwa kumtoa kwa chakula cha usiku mpenzi wake, Irina Shayk
Shayk alikuwapo Uwanja wa Bernabeu jana Ronaldo akifunga hat trick ya 22 tangu atue Real Madrid
Ronaldo alifunga kwa mara ya 14 mfululizo mechi za nyumbani, Real Madrid ikiifunga Athletic Bilbao 5-0
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top