Jokate
Mwegelo ambaye hivi karibuni alishoot video ya wimbo wake wa kwanza
kama msanii wa muziki nchini, ametoa sababu za kwanini mpaka sasa video
wala wimbo huo havijafanikiwa kutoka.
Jokate
a.k.a Kidoti amesema kuwa video aliyoshoot Kenya imechelewa kwasababu
kuna vitu ambavyo hakuvipenda katika video, hivyo vimechukua muda
kurekebishwa ili kupata kitu bora zaidi.“Kuna delay zilitokea kwenye
utayarishaji kidogo,sikupenda end product.
Cause napenda niwape fans the besssssssst. So nawaomba wanivumilie
kidogo. Ndio maana sipo kwenye social networks now, napiga kazi zaidi
nisicheleweshe zaidi.”
Post a Comment