Kupitia
mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye
wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina ya samsung galaxy note 4
kwenye account yake kuwa anamiliki simu hiyo ilihali simu yenyewe ikiwa
bado hata haijaanzwa kuuzwa sehemu yoyote duniani. Kupitia picha hiyo
kajala aliambulia maneno kadhaa ya kashfa toka kwa watu mbalimbali wengi
wao wakimtaka aache maisha ya kuigiza.
Baadhi ya maoni hayo ni:-
“Hahahaha watu ndo wanatoa pre order october 16 ndo ina launched we
umeitoa wap wakat bado haijaanzwa kuuzwa!dah!kwel sasa naanza kumin
maisha yako ni ya kuigiza nakufata mkumbo mumy…pole”
“Duh … Simu aijatoka hiyo Pre Order imeanza USA & UK tarehe 19/09
lkn retail stores wanaanza kuuza tarehe 17/10 , hiyo pre order kwa watu
ambao awataki kumiss ikitoka wanalipia kabisa ikitoka unaenda kuchukua ,
sasa hiyo umenunua wapi mwenzetu…”
“KAJALA ACHA UONGO HII CM LABDA MCHINA ORIGINAL HAIJATOKA MPAKA KWA
ORDER LOO MWANAMKE MZIMA MPKA LEO UNARINGISHIA CM PAULA NAE AFANYE
NINI”Wewe unaonaje kuhusu jambo hili la mastaa nchini kuishi maisha ya
kuigiza kwa ajili ya kuonekana wapo juu kwa mashabiki wao?!
Post a Comment